MoxDash

Bomet: Kizungumkuti baada ya corona kukwamisha harusi

Kijogoo kutoka Sotik, jimbo la Bomet aliingiwa na kikewe baada ya harusi yake kuahirishwa kwa sababu ya corona ilhali alikuwa amemtia mimba demu wake. Penyenye zinaarifu kwamba jamaa na demu wake ni viongozi wa vijana kanisani mwao na walipoona harusi yao imetimia, waliamua kulishana mahaba wakiamini walikuwa na muda mfupi kabla kutangazwa mume na mke. Habari Nyingine: Wakili 'Grand Mullah' apuuzilia mbali mchakato wa Kagwe katika kupamana na Covid-19

Jennifer Lopez - Age, Family, Bio

Hip-hop and R&B superstar better known as J-Lo who has sold over 80 million records worldwide. She released her debut album, On the 6, in 1999 and followed it up with the certified quadruple platinum album J.Lo in 2001. Her best known songs include "Waiting for Tonight," "If You Had My Love," "Love Don't Cost a Thing" and "Jenny from the Block."  Before Fame She was an athletic girl, running track at the national level and competing in gymnastics and softball.

John Redwood popularity & fame

John RedwoodExplore the latest public opinion about John Redwood Fame Fame is defined by the % of people who have heard of this topic. 50% Popularity Popularity is the % of people who have a positive opinion on a topic. 14% Disliked by 18% Neutral 17% ncG1vNJzZmixn6q0sMKNnKZnrZtkwbC8yJyqaKifoba1tcKsZp6woKG8s7GOqaybpJmYrKe1xq6pnmd6pLWvq7Gem7Cnn5k%3D

Kenyan Woman Who Went to Saudi 7 Years Ago Returns with 2 kids from Deadbeat Sudanese Dads

Merab Wanjiku left Kenya for Saudi Arabia for what she thought would be an awesome opportunity to secure her children's futureBy then, she was married to a man who would physically abuse her and with whom she got three children withHowever, life in Saudi was not as easy as she thought it would be; she came back home a few weeks ago with two kids from different deadbeat Sudanese menA Kenyan woman has narrated how she went to Saudi Arabia seven years ago with the hope of making money and giving her three children a better future but ended up returning home empty-handed and with two kids in tow.

Limuru: Wezi wa Usiku Wachomoka na Kengele Kubwa ya Kanisa Iliyonunuliwa Ulaya

- Kisa hicho ambacho kilitokea usiku wa Alhamisi, Aprili 27 kimeripotiwa kwa maafisa wa polisi na kinafanyiwa uchunguzi - Katibu katika kanisa la Virgin Mary Ordhodox alisema kengele hiyo ilinunuliwa ng'ambo na haipatikani hapa Kenya - James Wariru alisema haelewi ni vipi wezi hao walifanikiwa kuingia kanisani humo na kuiba kengele hiyo ambayo imetengenezwa kwa madini ya shaba Watu wasiojulikana wameripotiwa kuiba kengele ya kanisa la Virgin Mary Orthodox lililoko eneo la Limuru kaunti ya Kiambu.