- Wanawake wengi ulimwenguni ama wanapenda au wanachukia kutongozwa ili kuingia katika uhusiano
- Kisa chote chaweza kuwa cha kuvutia au balaa kutegemea jinsi mwanamume huyo anavyofanya kitendo hicho
Video hii ya mwanamke Mkenya akizungumza kumjibu mwanamume anayemtongoza kupitia simu inasambazwa mitandaoni.
Habari Nyingine: Wapenzi waliofanya harusi ya KSh 100 wamerudi kwa UMASIKINI? Picha hii imewasha moto

Habari Nyingine: Picha ya mtangazaji wa Citizen TV Lilian Muli akiwa KITANDANI yasisimua wengi
Mwanamke huyo mwenye lafudhi nzito ya Kiluhya anasawiri hali halisi ya mwanamke wa kijijini anapotongozwa.
Habari Nyingine: Jackline Mwende, mwanamke aliyekatwa mikono na mumewe, asimulia ALIVYOLALA na mpango wa kando

Kuanzia tabasamu, ishara za uso na lugha ya mwili.
Habari Nyingine: Jamaa kutoka Kisii afanya UNYAMA baada ya kumpata rafikiye wa karibu kitandani na mkewe

Bila shaka lafudhi itakuchekesha na majibu yake yatakupeleka hadi kijijini. \
Tazama video hiyo;
Read ENGLISH VERSION
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri: aron.mtunji@tuko.co.ke
Chanzo: TUKO.co.ke
ncG1vNJzZmijmajEorTIpaBnrKWgvG%2BvzmeinmdiaH56hJZmraKclaR6qbXIZrCaZZ2srq%2BtzKScZqWcqrW6rYyaoqKypaO0trnZmmSnmV2ixKK6wKaspp1dlruixcSmopqsmZZ6qsDApKyvrZ6frm%2B006aj